JINSI YA KUSAMBAZA NYIMBO KUPITIA KILANGA MEDIA
Msanii yeyote anayetamani kusambaza muziki wake kwa urahisi na kufikia wasikilizaji wengi, anakaribishwa kupitia website ya Kilanga Media.
Baada ya msanii kuwasiliana nasi na kuelekezwa hatua za usambazaji, anatakiwa kulipa gharama ya usambazaji Tsh 20,000 tu. Malipo hayo hufanyika kwa njia ya kipesa (Mobile Money) kama atakavyoelekezwa.
Baada ya kutuma pesa, msanii anatakiwa:
- Kutuma uthibitisho wa malipo (screenshot au meseji ya malipo)
- Kutuma nyimbo zake (audio files)
- Kutuma picha yake au cover ya wimbo
Taarifa zote hizo hutumwa kupitia WhatsApp ya Kilanga Media kwa urahisi na haraka.
Baada ya kupokea malipo na nyaraka zote, Kilanga Media inaanza mchakato wa kupakia na kusambaza nyimbo kupitia website yetu na majukwaa husika, kuhakikisha kazi ya msanii inafika kwa watu wengi kwa ubora na uaminifu.
Kwa Mawasiliano zaidi +255 624 503 230
👉 Kilanga Media – Tunakuinua Muziki Wako.

![Diamond Platnumz – Nani [ CHOIR VERSION ]](https://kilangamedia.com/wp-content/uploads/2025/12/Diamond-Platnumz-Nani-CHOIR-VERSION--100x75.jpg)








