DARASA LA RAP LIMEFUNGULIWA! 🎓🎤
Unapozungumzia uandishi uliopitiliza, unamzungumzia Fid Q. Safari hii, “Ngosha” mwenyewe anashusha nondo za hatari akimshirikisha IAMSIXOCLOCK kwenye mdundo unaosisimua. Kama wewe ni shabiki wa muziki unaokufanya ufikiri na kutafakari, hii ni kwa ajili yako.
Usisikilize tu muziki, sikiliza ujumbe. Pakua “Ngosha” sasa ujionee ufundi wa hali ya juu.
👉 Download sasa kupitia Kilanga Media
Download | Fid Q Ft. IAMSIXOCLOCK – Ngosha [Mp3 Audio]













